EVENT: Gloria Mwaituka -Women with Swords

Mtumishi wa Mungu Gloria Mwaituka kutoka katika huduma ya @thevoiceofsalvation anayofuraha kukukaribisha kwenye kongamano la Maombi la mabinti na wanawake lenye theme ya “women with swords ” litakalofanyika Corridor Spring Arusha siku ya jumamosi tareh 10-08-2019, saa 6 mchana mpaka saa 12 jioni. Praise and worship By Dr Ipyana. Watagawa biblia 100 bure kwa wanawake na mabinti wasio na uwezo wa kununua biblia. Hakuna Kiingilio. Registration: Tuma msg ya  jina kamili kwenye no hii 0712417575