Hamisa Mobetto Kuhamia Madale.


Taarifa zinazosamba kwa sasa kuhusu Hamisa Mobetto na Diamond Platnumz zimekuwa nyingi huku Udaku mwingi ukipatikana kwenye SnapChat zao

Kuna tetesi tatu kubwa kwa sasa zinazohusu Hamisa kununuliwa gari aina ya #Prado Land Cruise , Hamisa Mobetto Kuhamia State House, Nyumbani kwa Diamond Platnumz Madale, Na Hamisa kutafuta Mpacha na Diamond.
Maneno haya kwenye SnapChat yamezua tetesi kuwa Hamisa anataka Mpacha na Diamond
Na Snapchat  hii kuhusu wapangaji imezua tetesi kuwa Hamisa Mobetto anampango wa Kuhamia State House na Diamond Platnumz

Source: Udaku.