STAN BAKORA AJA NA STYLE MPYA KUELEKEA OCTOBER 1.

October 1, 2016 ni siku maalum iliyopangwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kupanda miti Dar es Salaam, sasa kauli hiyo imemfikia mchekeshaji Stan Bakora ambae leo ametuletea huu utani wake wa upandaji miti.

Unaweza ukabonyeza play hapa, ukaitazama video ya stan bakora

Story By:@Joplus_
Source: Millard Ayo