RAY C AFUNGUKA YA MOYONI JINSI ANAVYOMKUBALI DIAMOND NA HIT SONG YAKE YA “SALOME”.

Mrembo kutoka kwenye kiwanda cha mziki bongo, Ray C leo kaona si haba kufunguka ya moyoni kupitia ukurasa wake wa Instagram na moja kwa moja kumuandikia ujumbe mzuri Mdogo wake anaefanya poa sana na mdundo wa ‘Salome’ Diamond Platnumz.

Kupitia ujumbe huo Ray C kayaandika mambo mengi sana kutokana na furaha aliyokuwa nayo juu ya utendaji kazi wa mwanamuziki huyo pamoja na label yake inayomsimamia.

Haya ndio maneno kwa Ray C kwa Diamond
Platnumz..

rayc1982-20160927-0001

“Seriously Namaste lil bhaia!ngoja niwe mkweli wa nafsi yangu nipate nafuu dude!that Salome of Yours is damn hot!The Powerful couple in this industry kwa sasa bila ubishi wangu ni hawa wachapakazi wawili,bidii katika kila walifanyalo,go getters,wanavyopeana nguvu katika kazi zao,team work team work team makes everything go the it should be and that makes me fall in love with these two hard working souls!everysecond of the day,lil bro u really smart dude,i respect you for that roho ya upendo ulionayo ndio inayozaa matunda bora ya vipaji lukuki vinavyotamba sasa angalia Raymond!Harmonize!!!! Angalia upendo wako unavyozaa matunda bora,Mungu sio kipofu anaona lil bro!Baraka zake kwako hazitaisha dogo you deserve every penny lil bhaia! am a fan all the way keep chasing tht paper,i admire your management team,how serious you guys are in ths industry of ours..I don’t call u Simba no more dude! I call you THE GURU OF THE INDUSTRY!haaaaaaaaaa nilitaka kusahau mama weee baiiiiiiiii the wayyyyyyyyyyyyy kale kapicha kangu kalikobandikwa wasafi studios weeee eeeeee weeeee nimejishauaje sasa weweeeee mpaka mama angu nimemringishiaaaaaaaa kaka angu nimemringishiaaaaa mjomba nimemringishiaaaa yani acha weweeee nimefurahi saaaaana sana umenipa moyo mdogo wng ASANTE SAAAAANA ,Thats very kind of you lil bro!STAY BLESSED LIL BHAIA! @diamondplatnumz And I am Your Shabikj Makini without any reasonable doubt……….

Story by:@Joplus_

Source: Perfect255.com