ZIARA YA BEYONCE YAINGIA DOSARI.

Beyoncé amechukua siku chache kupumzisha sauti yake ili kuendelea na ziara yake ya “Formation.”

Queen Bey amefuta show ya Sept. 7 kwenye uwanja wa mpira wa MetLife mjini New Jersey mpaka Oct. 7 baada ya daktari kumuambia apumzishe sauti yake kwanza ili kuendelea na ziara hii.

Ziara ya “Formation” inapambwa na nyimbo kali kutoka kwenye album yake ya LEMONADE,

Stoey By@Joplus_

Source: Sam Misago