ALIKIBA KUIWAKILISHA TANZANIA KWENYE TUZO ZA MTV EMA 2016.

Alikiba ametajwa kuwani tuzo za muziki za MTV EMA 2016.

Alikiba ambaye anawania kipengele cha ‘Best African Act’ anachuana na Wizkid na Olamide wa Nigeria na Black Coffee na Cassper Nyovest wa Afrika Kusini.

Kiba

Tuzo hizi huenda kwa hatua mbili, mshindi wa hatua ya kwanza huenda kushindana kwenye hatua ya pili ya ‘Worldwide Act: Africa/India ambacho mwaka jana Diamond alikuwa msanii wa kwanza Afrika kushinda.

Tayari zoezi la kupiga kura limefunguliwa.

Story By:@Joplus_

Source: Perfect255.com