Baadhi ya mastaa bongo waliweka ujumbe tofauti kwa mashabiki wao kwaajili ya sikuku ya Eid, Wema Sepetu alitumia nafasi hio kumkumbuka Ex wake ambaye ni Model Mtanashati Luis Munana.
Luis Munana aliwahi kuripotiwa kuwa mpenzi wa Wema Sepetu ila kutokana na mastaa hawa wawili kuishi nchi tofauti ilikuwa ngumu kuendeleza mahusiano hayo.
Hii ni picha ya Luis Munana na Wema iliyokuwa maarufu zaidi bongo jana 12 September 2016 na Ujumbe huu….
Eid Mubaraq everyone….!!! Gnyt World…!!!
Story By:@Joplus_
Source: Sam Misago.