IDRIS ELBA KUICHUJUA NAFASI YA JAMES BOND?

Idris Elba ni miongoni mwa majina yaliyoingia kwenye orodha ya mwisho ya waigizaji wanaotazamiwa kuchukua nafasi ya James Bond, mpya.

Muigizaji huyo, 43, ametangazwa kuwa mmoja wa waigizaji wanaoweza kuchukua nafasi ya Daniel Craig anayetaka kujiondoa.@Joplus_

Source: Udaku Special Blog