The Okoye brother’s are back.
Psquare wameachia wimbo wao mpya ‘Bank Alert’ baada ya kimya cha muda mrefu kama kundi.
Mwezi uliopita pia walisikika pamoja kwenye wimbo walioshirikishwa na Diamond Platnumz ‘Kidogo’
Story by:@Joplus_
Source:Perfect255.com