DOGO JANJA AKINUKISHA NDANI YA WCB SIKU YA BIRTHDAY YAKE.

 Katika historia ya Bongo Fleva September 15 miaka kadhaa iliyopita alizaliwa Abdulaziz Chande. Dogo flani hivi mwenye kipawa chake kutoka kwa mungu baba, ambaye kwa hakika aliletwa kuja kuipeperusha vilivyo bendera ya Ngarenaro.

Dogo ndio lilikuwa jina lake alilobatizwa na washkaji zake kipindi akikua,lakini Janja alitunukiwa na watu wakubwa wenye upeo ambao walimuona Abdulaziz anafanya vitu flani hivi vilivyomzidi umri wake. Wakaona isiwe kesi, wala haitakuwa mbaya kama Dogo wakifanya kuijumuisha na Janja na mwisho wa siku kuja kutoka jina flani hivi ambalo leo hii lipo katika akili ya kila mpenda burudani.

Party hiyo ilihudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki wa Dogo Janja, bila kusahau wasanii wenzake na hata uongozi wake na wa WCB pia ulikuwepo eneo la tukio. tazama kwa picha hapa chini kilivyo happen kwenye Party hiyo.

IMG-20160916-WA0000
Dogo janja na Diamond Platnumz.
IMG-20160916-WA0002
Dogo janja na Reekado Momo
IMG-20160916-WA0006
Dogo janja na Babu Tale

IMG-20160916-WA0001

IMG-20160916-WA0003IMG-20160916-WA0004IMG-20160916-WA0005IMG-20160916-WA0007IMG-20160916-WA0008IMG-20160916-WA0009

Story By:@Joplus_

Source:Perfect255.com