KANYE WEST AONYESHA KUMKUBALI KID CUD AKIWA KWENYE TOUR YAKE YA SAINT PABLO.

Kanye West ameamua kutoa shangwe kwa Kid Cudi katika tour yake ya Saint Pablo licha ya Kid Cudi kuwadiss yeye na Drake.

Siku kadhaa nyuma Kid Cudi alitumia kurasa yake ya Twitter kuwadiss Kanye pamoja na Drake, Baada ya hapo Kanye hakumfumbia macho Kid Cudi na kumchana live wakati alipokuwa kwenye Tour yake na Drake pia akafuata nyayo za Kanye kumjibu Kid Cudi, Sasa mambo yanaonekana kama yamebadilika hivi kwa upande wa Kanye kwasababu Kanye huyohuyo aliyetoa majibu ya kudiss kwa Kid Cudi leo amerudi tena kutoa shangwe ya kumpongeza Kid Cudi.