GUMZO LA RICH MAVOKO NDANI YA WCB

mavoko3Kumekuwa na maneno mengi ya watu wakidai kwamba timu ya WCB inawekeza sana kwa wasanii wake wawili Harmonize na Raymond kuliko kwa Rich Mavoko.
Alipoulizwa kuhusu suala hilo,mmoja wa mameneja wa Diamond,Sallam alisema kwamba wanatumoia nguvu kubwa kwa Harmonize na Raymond kwa sababu ni wasanii wapya kwenye game ukilinganisha na Rich Mavoko.
“Rich mavoko ni wa siku nyingi watu washamuona tayari,na sisi tunajua thamani ya Rich Mavoko ndio maana yuko WCB,lakini Raymond na Harmonize ni wasanii wapya,ndio wamekuja.Lakini kama unavyoona project ya kwanza ya Rich Mavoko imetoka,nyingine inakuja hivi karibuni” alifunguka meneja huyo.@joplus_

Source: Mo Faze Online TV