ALICE KELLA – SIRI SIRI (OFFICIAL VIDEO).

Mtoto flani hivi mwenye vocal lake amazing kutoka THT. Anaitwa Alice Kella na tumemsikia kwenye ngoma kama “Nimekuchagua”.

Na leo ameiachia video ya ngoma yake ya “Siri Siri”. Enjoy nayo.

Story By:@Joplus_

Source:Perfect255.com