Baada ya kurudia na mapenzi moto moto kati ya Usain Bolt na mpenzi wake Kassi Bennett sasa wawili hawa wapo kwenye visiwa vya Bora Bora wakila bata refu,
Hizi ni picha za Bolt na mpenzi wake ambaye kwa sasa ni mchumba wake baada ya kumvalisha pete ya uchumba.
Â
Story By:@Joplus_
Source: Sam Misago.