HUU NDO UJIO MPYA WA BRUNO MARS 2016 BAADA YA KIMYA KIREFU.

Bruno Mars ni moja ya wasanii ambao walifanya vizuri na kuteka kabisa mioyo ya watu kutokana na ngoma zake jinsi zinavyosisimua, Sasa Bruno ameamua kutoa ukimya wa muda mrefu na kuileta hii mpya ya “24K Magic”

Story by:@Joplus_

Source: Perfect255.com.