GUCCI MANE URAIANI TENA, AFUNGUKA KUHUSU PROJECT ZAKE MPYA NA PIA AWAONGELEA WAKA FLOCKA NA NIKI MINAJ.

Tangu september 2013 mnyamwezi amekua aki-spend time yake akiwa jela kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya mpaka wiki ya mwisho wa mwezi uliopita ambapo Gucci Mane aliachiwa huru.

Hakuwahi kuzungumzia ishu yeyote kwa kipindi ambacho ameingia uraiani, kwenye interview yake na Hot97 Gucci amefungukia ishu kadhaa zikiwemo kupungua kwa uzito mahusiano yake na Nicki Minaj pamoja na rapa Waka Flocka.

Kwenye Sentensi nyingine mkali huyo amekaliliwa akiongea kuhusu project mpya ambazo anazifanyia kazi kwa sasa.

MSIKILIZE HAPA:

Story By: @Joplus_

Source: Perfect255.com