FRENCH MONTANA AWEKA WAZI SABABU ZILIZOMFANYA ASITOE ALBUM YAKE YA MARC & CHEESE 4.

French Montana ameamua kutoiachia kabisa album yake mpya ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu “Mac & Cheese 4”.

French ambaye amekuwa akiisogeza mbele tarehe ya kuachia album hiyo kwa muda sasa ametangaza kuwa hatoiachia kabisa album hiyo japo nyimbo zitatoka lakini kwa utaratibu tofauti, Montana mefunguka kwenye Interview yake na Complex.

“Songs like “I’m Heated” and “Two Times” couldn’t be cleared. By the time I got the mix how I recorded it, it wasn’t the same. I just ain’t have the same feeling for it. Everybody had to replay shit, and do all this extra shit, so I wasn’t in the mood to put it together. All the music going to come out, you know what I’m saying, just packaged differently. Plus, the album got leaked.”

Hata hivyo baadhi ya nyimbo za album hiyo tayari zilikuwa zimetoka, nyimbo kama ‘No shopping aliyomshirikisha Drake na Figure It Out aliyowashirikisha Kanye West na Nas.

Story by:@JOplus_

Source: Perfect255.com.