BEAN SIGEL AUNGANA NA THE GAME BAADA YA KUACHIA DISSTRACK YAKE KWA MEEK MILL ILIYOITWA ‘I`M COMING’.

 Rapper Beanie Sigel ameamua kurejesha vita kwa Meek Mill na Disstrack ya “am coming”

Beanie Sigel ni moja ya wasanii ambao walihusika kuandika ngoma na Meek Mill kumdiss The Game, sasa mambo yakaanza kubadilika pale Beanie Sigel alipotangaza kwamba disstrack hiyo yeye ndiye aliyemwandikia Meek Mill.

Sigel ameamua kuwa adui wa Meek Mill kwa kumdiss ndani ya ngoma yake ya “Am coming” ambapo ndani ya ngoma hiyo amediss mahusiano ya Meek Mill na Nicki Minaj

Msikilize hapa