YCEE FT DJ MAPHORISA – OMO ALHAJ RMX (OFFICIAL VIDEO).

Ni ngoma ambayo imefanya poa sana kibongobongo na hata Afrika nzima kwa ujumla. Leo tumeletewa remix ya ngoma hiyo, ambayo kimeongezeka kichwa kingine kutoka South Afrika kinachoitwa Dj Maphorisa.

Hii hapa ni video ya ngoma hiyo. Enjoy nayo

Story by :@Joplus_

Source: Perfect255.com