DIAMOND AWEKA WAZI THAMANI YA NYUMBA ALIYOINUNUA SOUTH AFRICA.

September 23 2016 Diamond Platnumz aliingia kwenye headlines baada ya kupost Nyumba ambayo aliandika kuwa ni zawadi kuwa Mpenzi wake ambaye ni Mrembo Zari, Baada ya Diamond Platnumz kupost Nyumba hiyo ambayo iko South Africa zimepita  siku saba na amehojiwa na kipindi cha Weekend Chat Show na kazitaja Gharama alizonunulia Nyumba hiyo.

Story by: @Joplus_
Source: Millard Ayo.