JAY Z AKEMEA VIKALI BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA.

 Jay Z ameachia filamu fupi inayoelezea vita dhidi ya biashara ya dawa za kulevya

Kwenye filamu hiyo Jay Z ambaye amewahi kukubali kuwa aliwahi kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya siku za nyuma  anasimulia vita dhidi ya dawa za kulevya sambamba na michoro ya Molly Crabapple.

“Rates of drug use are as high as they were when [President] Nixon declared this so-called war on drugs in 1971,” Jigga anasimulia. “Forty-five years later, it’s time to rethink our policies and laws. The war on drugs is an epic fail.”

Story by:@joplus_

Source: Perfect255.com