NEDY MUSIC FT. MR. BLUE – SI HALALI (OFFICIAL AUDIO).

Nedy Music ndio underground pekee ambaye anakichafua kinomanoma kwenye TV za kimataifa kama Trace, Sound City na nyinginezo kwa ngoma yake ya “Usiende mbali” ambayo kafanya na Ommy Dimpoz.

Ngoma hiyo imewahi kushika hadi namba 1 katika chati mbalimbali za muziki za TV hizo. Leo tumeinyaka hii yakwake mpya ambayo kafanya na Mr Blue. Inaitwa “Si Halali” na una kila sababu ya kuisikiliza.

Story by:@Joplus_

Source: Perfect255.com