YCEE FT DJ MAPHORISA – OMO ALHAJI RMX (OFFICIAL AUDIO).

Naaamini kama wewe ni mpenzi wa muziki mzuri basi huwezi kushindwa kuijua ngoma ya “Omo Alhaji” yakwake Ycee.

Ni ngoma ambayo imefanya poa sana kibongobongo na hata Afrika nzima kwa ujumla. Leo tumeletewa remix ya ngoma hiyo, ambayo kimeongezeka kichwa kingine kutoka South Afrika kinachoitwa Dj Maphorisa.

Enjoy nayo.

Story By:@Joplus_

Source: Perfect255.com