Cover ya jarida la GQ ni ndoto ya kila mwanamitindo na msanii, rapper wa Afrika kusini amefanikiwa kukava jarida hilo.
Kwa miaka mitano jarida la GQ SA limewapa nafasi mastaa wa Afrika kusini watatu tu kukava jarida hilo, Mchekeshaji Trevor Noah, nyota mmoja wa rugby na Aka.
Story By:@Joplus_
Source: Perfect255.com