Siku chache zilizopita nilikusogezea video mpya ya single ya Dully Sykes iitwayo INDE aliyoshirikishwa msanii kutoka WCB, Harmonize sasa leo wametuletea hii behind the scenes ya video hiyo kuona jinsi ilivyokuwa katika uandaaji wa video hiyo mpya.
Video hiyo mpya imetayarishwa na Director Hascana.
Story By:@Joplus_
Source: Raha za walimwengu