kwenye Leo Tena ya Clouds FM Geah Habibu ametuletea HekaHeka ambayo imetokea Magomeni inayomuhusu msichana wa miaka 12 aliyejifungua mtoto kunyimwa chakula na bibi yake.
Awali majirani walidai kuwa mtoto huyo alikuwa ananyimwa chakula na bibi yake, lakini bibi huyo alikanusha ambapo alisema ugumu wa maisha kwenye familia yao ndiyo sababu ya kuonekana anamnyima chakula mjukuu wake huyo.
Source: Millard ayo