Kupitia XXL ya Clouds FM, U-heard ya leo inamuhusu mkali wa muziki wa Bongofleva kutoka Mazense Madee ambaye anadaiwa kumtelekeza mpenzi wake wa zamani baada ya kupata mtoto na mwanamke mwingine anayejulikana kwa jina la Minah.
Soudy Brown alipiga story na Madee pamoja na Minah mwanamke aliyezaa naye na majibu yao yalikuwa haya..>>>”Sasa kama nina mtoto mpya Soudy wewe ni nani mpaka nikuambie..? Taarifa zikiwa rasmi nitakuambia.” – Madee.
Source: Millard ayo