New @shadrackrobert azindua Asheengai na Siya Bonga Jesu

Bofya video Kutazama Live performance kutoka kwa @shadrackrobert #ShadrackRobert  Gospel Artist na wimbo wake unaotamba 2017 Siya Bonga Jesu (ni lugha ya kizulu)
Meaning Asante SanA
Iive performance ilikuwa Gloryland international Church siku ya uzinduzi wa Album yake itwayo *Ashee Ngai*ni kimasai *Asante Mungu*kwa kiswahili

Siya Bonga video iko kwenye mchakato wa kwenda kushutiwa *South Africa* kuleta uhalisia wa *Kizulu*Siya Bonga