Tekno ajiunga kwenye mtandao wa kuuza muziki wa Diamond, Wasafi.com

Diamond ameendelea kuthibitisha kuwa amedhamilia kuleta ushindani kwenye biashara ya kuuza muziki kupitia mtandao wake mpya wa Wasafi.com

Msanii wa Nigeria, Tekno amekuwa msanii wa kwanza kutoka kwenye nchi hiyo  kujiunga kwenye mtandao huo wa Diamond, wimbo wake mpya “Yawa” tayari umewekwa kwenye mtandao huo.

 Source: Millard ayo