GrassHopper – Arusha Jiji

Pokea wimbo kwa jina “Arusha Jiji” toka kwa Msanii wa kike anayeitwa #Grasshopper anayewakilisha Kaskazini katika mtindo wa BongoFleva anawaletea albamu yake ambayo pia inakwenda kwa jina “ARUSHA JIJI” Ikiwa ni mkusanyiko wa Nyimbo Saba na inapatikana sokoni kwa bei ya Tsh Elfu Tano (5’000/= Tu) wasiliana naye kwa nambari 0765 972 474