Mtoto wa miaka 12 aliyejifungua mtoto

 kwenye Leo Tena ya Clouds FM Geah Habibu ametuletea HekaHeka ambayo imetokea Magomeni inayomuhusu msichana wa miaka 12 aliyejifungua mtoto kunyimwa chakula na bibi yake.

Awali majirani walidai kuwa mtoto huyo alikuwa ananyimwa chakula na bibi yake, lakini bibi huyo alikanusha ambapo alisema ugumu wa maisha kwenye familia yao ndiyo sababu ya kuonekana anamnyima chakula mjukuu wake huyo.

Source: Millard ayo

Generic selectors
Exact matches only
Search in title
Search in content
Post Type Selectors
muzikizaidi
Author: muzikizaidi