LIL WAYNE AFUNGUKA KUHUSU DRAKE KUTEMBEA NA MPENZI WAKE WAKATI YEYE AKIWA JELA.

Utashangazwa na ukaribu uliopo kati ya Lil wayne na Drake japo rapper huyo wa ‘One Dance’ aliwahi kupita na mrembo wa boss wake.

Kwenye kitabu Gone ‘Til November  kitakachozungumzia maisha ya Lil wayne wakati yupo jela ‘Rikers Island’ mwaka 2010, Lil Wayne amefunguka jinsi alivyoumizwa na taarifa za Drake kutembea na girlfriend wake,

“Finding out that she f—ed Drake was the absolute worst thing I could have found out. Drizzy came to see me, he was like, ‘Yeah, it’s true’. Damn! This is the type of s— a man never wants to find out while he is locked up.” Ameelezea.

Kitabu icho kinatoka tarehe 11 mwezi Oktoba mwaka huu.

Story by:@Joplus_

Source:Perfect255.com