50 Cents bado anaendeleza matani kwa wapinzani wake wa tamthilia ya Empire baada ya season 3 kufanya vibaya.
Tamthilia ya Empire kwasasa imekuwa ikifanya vibaya sana kwa kupata watazamaji wachache, ukiacha mbali kuwa nawatazamaji wachache Season ya 3 ya tamthilia hiyo ambayo imewahusisha vichwa vikubwa vya wasanii kama Birdman na French Montana katika tamthilia yao bado imeshindwa kufanya vizuri, Sasa 50 cent kama kawaida yake amekuwa ni mtu wa kuwatania sana wapinzani wake pale wanapokuwa wanafanya vibaya na kupitwa na tamthilia yake ya “Power” kufanya vizuri na kujizolea watazamaji wengi zaidi.
“Wow!,” wrote Fif under an Instagram post of Empire‘s declining ratings. “Well, look at the bright side at least. You can eat your 🏆Trophies. I was talking to old girl but you felt like you had to respond. SMH you know I love you cookie 😘 I got a new show for you BMF COMING SOON!!!”
Story By:@Joplus_
Source:Perfect255.com