5O CENT AONGEZA UTANI WAKE KWA WAPINZANI WAKE WENYE TAMTHILIYA YA EMPIRE INAYOZIDI KUFANYA VIBAYA SOKONI.

speaks onstage during the ‘_____’ panel at the TV One Network portion of the 2015 Winter Television Critics Association press tour at the Langham Hotel on January 9, 2015 in Pasadena, California.

50 Cents bado anaendeleza matani kwa wapinzani wake wa tamthilia ya Empire baada ya season 3 kufanya vibaya.

Tamthilia ya Empire kwasasa imekuwa ikifanya vibaya sana kwa kupata watazamaji wachache, ukiacha mbali kuwa nawatazamaji wachache  Season ya 3 ya tamthilia hiyo ambayo imewahusisha vichwa vikubwa vya wasanii kama  Birdman na French Montana katika tamthilia yao bado imeshindwa kufanya vizuri, Sasa 50 cent kama kawaida yake amekuwa ni mtu wa kuwatania sana wapinzani wake pale wanapokuwa wanafanya vibaya na kupitwa na tamthilia yake ya “Power” kufanya vizuri na kujizolea watazamaji wengi zaidi.

“Wow!,” wrote Fif under an Instagram post of Empire‘s declining ratings. “Well, look at the bright side at least. You can eat your 🏆Trophies. I was talking to old girl but you felt like you had to respond. SMH you know I love you cookie 😘 I got a new show for you BMF COMING SOON!!!”

Story By:@Joplus_

Source:Perfect255.com