Mwandubya amesema tozo za majengo zinatofautiana kati ya eneo moja na jingine na kulingana na matumizi ya jengo husika kwa mujibu wa sheria ndogondogo zilizotungwa na mamlaka hizo za Serikali za mitaa. Baadhi ya maeneo aliyoyataja na viwango vya tozo kwa mwaka ni kama vile……
-Manyara-5,000
-Mbeya-5,000
-Temeke- 15,000
-Kinondoni- 15,000
-Kibaha 10,000
-Mpanda 10,000
Source: Millard ayo