Taarifa ya Clouds Media kuhusu kudaiwa Milioni 700

Baada ya kusambaa kwa ujumbe kupitia mitandao ya kijamii unaodai kwamba kampuni ya Clouds Media Group inadaiwa malimbikizo ya kodi na kupoke notisi kutoka mamlaka ya mapato Tanzania (TRA)  zaidi ya Milioni 700, Leo March  22, 2017 uongozi wa kampuni hiyo umesema kuwa taarifa hizo sio za kweli.

Source: Millard ayo

 

Generic selectors
Exact matches only
Search in title
Search in content
Post Type Selectors
muzikizaidi
Author: muzikizaidi