Samatta aliwasili Dar es Salaam na kuungana na wenzake katika mazoezi ya Taifa Stars yaliyofanyika uwanja wa Taifa leo, baada ya kuungana na wenzake kwa mara ya kwanza alikutana na waandishi wa habari na kujibu maswali mbalimbali.
Source: Millard ayo