Burudani Mabeste kakubali kurudi B Hits Music Group

Ni headlines za rapper William Ngowi aka Mabeste ambae amekaa karibu na Ayo TV & millardayo.com na kueleza utayari wake wa kurudi kufanya kazi na lebel yake ya zamani iitwayo B Hits Music Group.

Staa huyo aliyazungumza na kuyasema….>>>>>Ukimzungumzia Hermy B, au Pancho mimi sina noma nao na upande wa Hermy B ni moja kati ambao wamenitoa sehemu fulani mpaka mimi kuwa hapa nilipo kwahiyo nikipata siku au nikiona narudi kufanya nao kazi kikubwa zaidi nitakachokiangalia ni wapi nilikosea na siku zote binadamu anajifunza kupitia makosa’-Mabeste

‘Kila siku mimi  uwa namwambia Mungu kwanini ilitokea kugombana na ndugu zangu ukiachana na Muziki tu mimi Hermy B, Pancho lation nilikuwa sina aibu ya kuwaambia mmi nina njaa wote nilikuwa nina uhuru nao na ukirudi kwenye muziki Pancho Latino alisimama kama God Father’- Mabeste

Source: Millard ayo