Baada ya kutamba na single za ‘Hainaga Ushemeji’ na ‘Kibaka’ ambazo zimetayarishwa na producer Mensen Selekta, mara hii staa wa Sengeli Man Fongo ametuletea hii single mpya inaitwa ‘Safi tu’.
Source: Millard ayo
[variable_1] has subscribed muzikizaidi [amount] minutes ago.