”Nilikuwa nasubiri Mwakyembe aache kuja kuapa” – Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo March 24, 2017 wakati anawaapisha Mawaziri wawili, Mabalozi wanne na Kamishna wa Tume ya Mahakama, Ikulu jijini Dar es Salaam, amegusia kuhusu taarifa feki za mitandaoni zilizodai kuwa Waziri Dkt. Harrison George Mwakyembe hatahudhuria kwenye hafla hiyo ya kuapishwa na yeye amesema alikuwa anasubiri Dkt. Mwakyembe aache kwenda kuapa.

Source: Millard ayo