Young Lunya Feat. Country Boy – TIKISA (Video)

Toka Rooftop Ent na OMG: anaibuka Young Lunya akiwa amemshirikisha Country Boy na hii hapa ni official video ya “TIKISA” ambayo ni Trap Category ndani akiwa anaonekana mwanadada Mimi Mars huku video ikiwa imeongzwa na Director Joowzey