Magari yanayopaa kuja mwaka 2020 ‘Dira ya Dunia’

Kama utakua ni mpenzi wa kutazama taarifa ya habari na haukupata mda, basi Millardayo.com tayari imekukusanyia habari kali zilizo ruka kupitia Dira ya Dunia ya BBC Swahili usiku wa leo April 26 2017 ambapo ipo taarifa ya Uber kuja kuzindua magari yanayopaa angani ifikapo mwaka 2020.

Magari hayo ya umeme yatapaa angani na kutuwa yakiwa wima bila kuchafua mazingira na hayatakuwa na sauti kubwa huku gharama yake ikiwa ni sawa na teksi za kawaida, pamoja na hiyo taarifa zipo na habari nyingine kama ulizikosa ndo time yako ya kuzitazama.

Source: Millard ayo