Vanessa Mdee ataungana na staa wa Marekani, Chris Brown kulishambulia jukwaa la ‘Mombasa Rocks Music Festival’ litakalofanyika tarehe 8 mwezi Oktoba.
‘Mombasaaaaaa it’s ME N U this weekend. @mombasarocks 👌💜🎤👑 #Juu#Niroge#MAMAVote #BestFemale #VanessaMdee‘ Vee Money ameandika kwenye Instagram yake.
Pia kwenye show hiyo staa wa Nigeria, Wizkid na Alikiba watatumbuiza.
Story by:@Joplus_
Source: Perfect255.com