Asubuhi ya March 23 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli alifanya mabadiliko madogo katika baraza la mawaziri kwa kumteua aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Dr Harrison Mwakyembe kuwa waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Huku akimteua Prof Palamagamba Aidan John Mwaluko Kabudi kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, baada ya uteuzi huo Rais Magufuli jioni ya amefanya uteuzi mwingine tena kwa mteua Alphayo Kidata kuwa Katibu Mkuu Ikulu.
Source: Millard ayo