“Mary You” ya Diamond yaingia kwenye Top 20 ya Vevo ya ‘New Artist Videos In The U.S’

20 ya Vevo ya ‘New Artist Videos In The U.S’

Malengo ya Diamond ya kuingiza muziki wa Bongo Fleva kwenye anga za kimataifa yanazidi kutimia baada ya video yake mpya ya “Mary You’ kujumuishwa kwenye Top 20 ya Vevo ya Video za wasanii mpya  Marekani.

SOURCE BY:TEENTZ

Generic selectors
Exact matches only
Search in title
Search in content
Post Type Selectors