Rayvanny baada ya kutajwa kuwania tuzo BET Awards 2017

Majina ya wanaowania tuzo za BET 2017 tayari yametoka huku Tanzania ikitajwa kwenye orodha kupitia kwa Mwimbaji wa Bongofleva kutoka kundi la WCB Rayvanny ambaye anawania tuzo kwenye kipengele cha Best International View’s Choices akiwa ni Msanii pekee kutoka Afrika.

Baada ya kuzipokea taarifa hizo Rayvanny alikuwa na haya ya kuwaeleza mashabiki wake.

Source: Millard ayo