‘Tutegemee muda wowote mwanangu kusainiwa WCB’- Khadija Kopa

                                                                

Ni Headlines za mwimbaji wa Taarabu Khadija Kopa ambae May 3, 2016 amekaa karibu na millardayo.com & Ayo TV na kufunguka kuhusu tutegemee muda wowote mwanao kutambulishwa kama msanii wa Diamond Platnumz (WCB).

‘Nilikwenda kwa Diamond Platnumz nikamwambia amsikilize mwanangu akamsikiliza na anasema amemuelewa yuko anasubiria kwani subira yavuta heri ndio riziki yake mwanangu kuimba kama isingekuwa riziki yake basi angepata label nyingine kwahiyo tutegemee muda wowote mwanangu kusainiwa WCB‘- Khadija Kopa

                             Source: Millard ayo