Kupitia ukurasa wake wa Twitter Maulidi Kitenge ameandika hivi… “Kiba na Diamond wameshindwa kuonesha uzalendo kwa Serengeti Boys wamegoma kuimba wimbo wa hamasa licha kuwepo kamati ya hamasa.inasikitisha”
Source: Udaku
[variable_1] has subscribed muzikizaidi [amount] minutes ago.