Muonekano Mpya wa Diamond Platnumz.

Mwanamuziki Diamond anatarajia kuonekana kivingine baada ya kubadilisha staili yake ya nywele.Pichani hapo juu ndiyo staili yake ya nywele kwa sasa.

 Source: Udaku