Boblim – Sema Nae (Audio)

Pakua SEMA NAE HAPO JUU na BEAT CHORUS ya “She Knows” HAPA chini ft @Boblim_tz ,andikia mistari mikali kisha fika @noizmekah Studio Sakina Kuonyesha uwezo WAKO na upate BAHATI ya kurekodiwa BURE Nyimbo MOJA na kushiriki katika Mixtape ya “Boblim” itakayotoka karibuni

BEATCHORUS SHE KNOWS